The Bible Software
bible.softwareLeviticusLeviticus 13 › Leviticus 13:46

Leviticus 13:46

Kwa muda wote atakaokuwa na ugonjwa huo wa kuambukiza atabaki kuwa najisi. Ni lazima aishi peke yake; ni lazima aishi nje ya kambi. 1 Masharti Kuhusu Upele

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

All the days wherein the plague shall be in him he shall be defiled; he is unclean: he shall dwell alone; without the camp shall his habitation be.

In Context

45“Mtu mwenye ugonjwa kama huo wa kuambukiza ni lazima avae nguo zilizoraruka, awachilie nywele zake bila kuzichana, afunike sehemu ya chini ya uso wake, na apige kelele, ‘Najisi! Najisi!’

47“Kama vazi lolote lina maambukizo ya upele: likiwa ni vazi la sufu au kitani,

Read all of Leviticus 13

Cross References

Numbers 5:2“Waamuru Waisraeli kumtoa nje ya kambi mtu yeyote ambaye ana ugonjwa wa ngozi uambukizao, + 5:2 Ugonjwa wa ngozi uambukizao hapa ina maana ya ukoma. au anayetokwa na majimaji ya aina yoyote, au ambaye ni najisi kwa utaratibu wa ibada kwa sababu ya maiti.

2 Kings 7:3Basi kulikuwepo na watu wanne wenye ukoma katika ingilio la lango la mji. Wakaambiana, “Kwa nini tukae hapa mpaka tufe?

2 Chronicles 26:21Mfalme Uzia alikuwa na ukoma mpaka siku ya kufa kwake. Akatengwa katika nyumba ya pekee akiwa mwenye ukoma, naye akawa ametengwa kutoka Hekalu la Bwana. Yothamu mwanawe akawa msimamizi wa jumba la mfalme, pia akawaongoza watu wa nchi.

Lamentations 1:1Tazama jinsi mji ulivyoachwa ukiwa, 2 mji ambao zamani ulikuwa umejaa watu! 1 Jinsi ambavyo umekuwa kama mama mjane, 2 ambaye wakati fulani alikuwa maarufu miongoni mwa mataifa! 1 Yule ambaye alikuwa malkia miongoni mwa majimbo 2 sasa amekuwa mtumwa. 1

Luke 17:12Alipokuwa akiingia kwenye kijiji kimoja, watu kumi waliokuwa na ukoma wakakutana naye. Wakasimama mbali,

1 Corinthians 5:9Niliwaandikia katika waraka wangu kuwa msishirikiane na wazinzi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Leviticus 13:46

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Leviticus 13:45Leviticus 13Leviticus 13:47 →