Leviticus 13:49
tena kama maambukizo kwenye vazi, au ngozi, au lililofumwa au kusokotwa, au kifaa chochote cha ngozi, ni rangi ya kijani au nyekundu, huo ni upele unaoenea na ni lazima kuhani aonyeshwe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
50Kuhani atachunguza upele huo na kukitenga kifaa hicho kwa siku saba.
Cross References
Leviticus 14:37Atachunguza upele huo katika kuta za nyumba hiyo, nazo kama zina rangi ya kijani kibichi au wekundu, na kuna mibonyeo ndani ya ukuta,