Leviticus 13:48
lolote lililofumwa au kusokotwa likiwa la kitani au la sufu, ngozi yoyote au chochote kilichotengenezwa kwa ngozi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
47“Kama vazi lolote lina maambukizo ya upele: likiwa ni vazi la sufu au kitani,
Cross References
Leviticus 13:51Siku ya saba atakichunguza, na kama upele umeenea kwenye nguo, au kifaa kilichofumwa au kusokotwa, au ngozi, kwa vyovyote vile itumikavyo, ni upele uangamizao, kifaa hicho ni najisi.
Jude 1:23wengine waokoeni kwa kuwanyakua kutoka kwenye moto; nao wengine wahurumieni mkiwa na hofu, mkichukia hata vazi lenye mawaa na kutiwa unajisi na mwili. 1 Dua Ya Kutakia Heri