Leviticus 14:41
Kuta zote za ndani ya nyumba hiyo ni lazima zikwanguliwe, na kifusi chake kitupwe mahali najisi nje ya mji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 65:4watu waketio katikati ya makaburi 2 na kukesha mahali pa siri, 1 walao nyama za nguruwe, 2 nazo sufuria zao zina mchuzi wa nyama zilizo najisi, 1
Matthew 24:51Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.
Revelation 22:15Huko nje wako mbwa, wachawi, wazinzi, wauaji, waabudu sanamu, na kila mtu apendaye udanganyifu na kuufanya.