The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 65 › Isaiah 65:4

Isaiah 65:4

watu waketio katikati ya makaburi 2 na kukesha mahali pa siri, 1 walao nyama za nguruwe, 2 nazo sufuria zao zina mchuzi wa nyama zilizo najisi, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Which remain among the graves, and lodge in the monuments, which eat swine’s flesh, and broth of abominable things is in their vessels;

In Context

3taifa ambalo daima hunikasirisha 2 machoni pangu, 1 wakitoa dhabihu katika bustani 2 na kufukiza uvumba juu ya madhabahu za matofali; 1

5wasemao, ‘Kaa mbali; usinikaribie, 2 kwa maana mimi ni mtakatifu mno kwako!’ 1 Watu wa aina hiyo ni moshi katika pua zangu, 2 ni moto uwakao mchana kutwa. 1

Read all of Isaiah 65

Cross References

Exodus 23:19“Utaleta malimbuko bora ya ardhi yako katika nyumba ya Bwana Mungu wako. “Usimchemshe mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake. 1 Malaika Wa Mungu Kuandaa Njia

Leviticus 11:7Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, hacheui; huyo ni najisi kwenu.

Numbers 19:16“Mtu yeyote aliyeko nje mahali pa wazi agusaye mtu aliyeuawa kwa upanga au mtu aliyekufa kwa kifo cha kawaida, au mtu yeyote agusaye mfupa wa mtu aliyekufa au kaburi, atakuwa najisi kwa siku saba.

Deuteronomy 14:8Nguruwe pia ni najisi; ingawa ana kwato zilizogawanyika, hacheui. Msile nyama yake wala kugusa mzoga wake.

Deuteronomy 18:11wala arogaye kwa kupiga mafundo, wala mwaguzi au anayeabudu mizimu, wala awaombaye wafu.

Isaiah 66:17“Watu wote wanaojiweka wakfu na kujitakasa wenyewe ili kwenda bustanini, wakimfuata aliye katikati ya wale ambao hula nyama za nguruwe na panya pamoja na vitu vingine vilivyo machukizo, watafikia mwisho wao pamoja,” asema Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 65:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 65:3Isaiah 65Isaiah 65:5 →