bible.software › Walawi › Walawi 15 › Walawi 15:23
Walawi 15:23
Kiwe ni kitanda ama chochote alichokuwa amekikalia, ikiwa mtu yeyote atakigusa, atakuwa najisi mpaka jioni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if it be on her bed, or on any thing whereon she sitteth, when he toucheth it, he shall be unclean until the even.
In Context
22Yeyote atakayegusa chochote atakachokalia ni lazima afue nguo zake na aoge kwa maji, naye atakuwa najisi mpaka jioni.
24“ ‘Ikiwa mwanaume atalala naye na ile damu ya mwezi ikamgusa, atakuwa najisi kwa siku saba; kitanda chochote atakachokilalia huyo mwanaume kitakuwa najisi.
Read all of Walawi 15
Cross References
Numbers 19:22Kitu chochote anachogusa mtu aliye najisi kitakuwa najisi, na yeyote akigusaye huwa najisi mpaka jioni.”
This Verse In Other Editions
Study Walawi 15:23