Walawi 15:24
“ ‘Ikiwa mwanaume atalala naye na ile damu ya mwezi ikamgusa, atakuwa najisi kwa siku saba; kitanda chochote atakachokilalia huyo mwanaume kitakuwa najisi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 18:19“ ‘Usimsogelee mwanamke ili kukutana naye kimwili wakati wa unajisi wa siku zake za mwezi.
Ezekiel 18:6Hakula katika mahali pa ibada za miungu 2 kwenye milima 1 wala hakuziinulia macho sanamu 2 za nyumba ya Israeli. 1 Hakumtia unajisi mke wa jirani yake, 2 wala hakukutana kimwili na mwanamke 2 wakati wa siku zake za hedhi. 1
1 Thessalonians 5:22Jiepusheni na uovu wa kila namna.
1 Peter 2:11Wapenzi, ninawasihi, mkiwa kama wageni na wapitaji hapa ulimwenguni, epukeni tamaa mbaya za mwili ambazo hupigana vita na roho zenu.