Leviticus 16:8
Aroni atapiga kura kwa ajili ya hao mbuzi wawili, mmoja kwa ajili ya Bwana na mwingine kwa ajili ya kubebeshwa dhambi. + 16:8 Yaani Azazeli , maana yake mbuzi wa ondoleo la dhambi ; pia ms. 10, 26.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 26:55Hakikisha kuwa nchi inagawanywa kwa kura. Kile kitakachorithiwa na kila kikundi kitakuwa kwa kulingana na majina ya kabila la babu yao.
Joshua 18:10Basi Yoshua akawapigia kura huko Shilo mbele za Bwana, na hapo akagawanya ile nchi kwa Waisraeli kufuatana na mgawanyo wa kabila zao. 1 Mgawo Kwa Benyamini
Proverbs 16:33Kura hupigwa kwa siri, 2 lakini kila uamuzi wake hutoka kwa Bwana.
Jonah 1:7Kisha mabaharia wakasemezana wao kwa wao, “Njooni, tupige kura tumtafute anayehusika na maafa haya.” Wakapiga kura, kura ikamwangukia Yona.