Leviticus 2:7
Kama sadaka yako ya nafaka imepikwa kwenye sufuria, itatengenezwa kwa unga laini na mafuta.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Ukande na kumimina mafuta juu yake; hii ni sadaka ya nafaka.
Cross References
Leviticus 7:9Kila sadaka ya nafaka iliyookwa jikoni au kupikwa katika sufuria au katika kikaangio itakuwa ya kuhani anayeitoa.