bible.software › Walawi › Walawi 20 › Walawi 20:18
Walawi 20:18
“ ‘Ikiwa mwanaume atalala na mwanamke aliye katika hedhi yake na kukutana naye kimwili, amefunua mtiririko wa hedhi yake, naye huyo mwanamke amejifunua uchi wake. Wote wawili lazima wakatiliwe mbali na watu wao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if a man shall lie with a woman having her sickness, and shall uncover her nakedness; he hath discovered her fountain, and she hath uncovered the fountain of her blood: and both of them shall be cut off from among their people.
In Context
17“ ‘Ikiwa mtu anamwoa dada yake, binti aliyezaliwa na baba yake au mama yake, nao wakakutana kimwili, ni aibu. Lazima wakatiliwe mbali machoni pa watu wao. Huyo mwanaume amemwaibisha dada yake, hivyo atawajibika kwa ajili ya uovu huo.
19“ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako wala wa baba yako, kwa maana hilo litamwaibisha jamaa wa karibu; ninyi wawili mtawajibika kwa ajili ya uovu huo.
Read all of Walawi 20
Cross References
Leviticus 15:24“ ‘Ikiwa mwanaume atalala naye na ile damu ya mwezi ikamgusa, atakuwa najisi kwa siku saba; kitanda chochote atakachokilalia huyo mwanaume kitakuwa najisi.
Ezekiel 18:6Hakula katika mahali pa ibada za miungu 2 kwenye milima 1 wala hakuziinulia macho sanamu 2 za nyumba ya Israeli. 1 Hakumtia unajisi mke wa jirani yake, 2 wala hakukutana kimwili na mwanamke 2 wakati wa siku zake za hedhi. 1
This Verse In Other Editions
Study Walawi 20:18