Leviticus 20:22
“ ‘Zishikeni amri na sheria zangu zote na kuzifuata, ili nchi ninayowaleta kuishi isiwatapike.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 21:1“Hizi ndizo sheria utakazoweka mbele ya Waisraeli:
Leviticus 18:25Hata nchi ilitiwa unajisi, hivyo nikaiadhibu kwa dhambi zake, nayo nchi ikawatapika wakazi wake.
Leviticus 26:33Nitawatawanya ninyi miongoni mwa mataifa, na kuufuta upanga wangu na kuwafuatia. Nchi yenu itaharibiwa, nayo miji yenu itakuwa magofu.
Deuteronomy 5:1Mose akawaita Israeli wote, akawaambia: Ee Israeli, sikilizeni amri na sheria ninazowatangazia leo. Jifunzeni, na mwe na hakika kuzifuata.
Psalms 19:8Maagizo ya Bwana ni kamili, 2 nayo hufurahisha moyo. 1 Amri za Bwana huangaza, 2 zatia nuru machoni. 1
Psalms 119:20Nafsi yangu inataabika kwa shauku kubwa 2 juu ya sheria zako wakati wote. 1