Walawi 20:26
Mtakuwa watakatifu kwangu, kwa sababu Mimi, Bwana, ni mtakatifu, nami nimewatenga kutoka mataifa kuwa wangu mwenyewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 19:2“Sema na kusanyiko lote la Israeli na uwaambie: ‘Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi, Bwana Mungu wenu, ni mtakatifu.
Leviticus 20:8Shikeni amri zangu na kuzifuata. Mimi ndimi Bwana, niwafanyaye ninyi watakatifu.
Deuteronomy 7:6Kwa kuwa wewe ni taifa takatifu kwa Bwana Mungu wako. Bwana Mungu wako amekuchagua wewe kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia kuwa watu wake, hazina yake ya thamani.
Deuteronomy 26:18Naye Bwana ametangaza leo kwamba ninyi ni taifa lake, hazina yake ya thamani kama alivyoahidi, ili kwamba mpate kuyashika maagizo yake yote.
Psalms 99:5Mtukuzeni Bwana Mungu wetu, 2 na mkaabudu katika mahali pa kuwekea miguu yake; 2 yeye ni mtakatifu. 1
Isaiah 6:3Nao walikuwa wakiitana kila mmoja na mwenzake: 1 “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu 2 ni Bwana Mwenye Nguvu Zote; 2 dunia yote imejaa utukufu wake.”