Leviticus 22:28
Usimchinje ngʼombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And whether it be cow or ewe, ye shall not kill it and her young both in one day.
In Context
29“Unapomtolea Bwana dhabihu ya shukrani, itoe kwa namna ambayo itakubalika kwa niaba yako.
Cross References
Exodus 34:26“Leta matunda ya kwanza yaliyo bora zaidi ya ardhi yako katika nyumba ya Bwana Mungu wako. “Usimchemshe mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.”
Deuteronomy 22:6Kama ukikuta kiota cha ndege kando ya barabara, iwe juu ya mti au chini, naye ndege amelala juu ya makinda au mayai, usimchukue huyo ndege pamoja na makinda yake.