Kumbukumbu 22:6
Kama ukikuta kiota cha ndege kando ya barabara, iwe juu ya mti au chini, naye ndege amelala juu ya makinda au mayai, usimchukue huyo ndege pamoja na makinda yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 8:17Utoe nje kila aina ya kiumbe hai aliye pamoja nawe: Ndege, wanyama na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi, ili wakazae, na kuongezeka na kuijaza tena dunia.”
Leviticus 22:28Usimchinje ngʼombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja.
Hosea 10:14mngurumo wa vita utainuka dhidi ya watu wako, 2 ili kwamba ngome zako zote zitaharibiwa: 1 kama Shalmani alivyoharibu Beth-Arbeli katika siku ile ya vita, 2 wakati mama pamoja na watoto wao 2 walipotupwa kwa nguvu ardhini. 1