Walawi 22:31
“Shikeni maagizo yangu na kuyafuata. Mimi ndimi Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore shall ye keep my commandments, and do them: I am the LORD.
In Context
30Ni lazima iliwe siku iyo hiyo, pasipo kubakiza chochote mpaka asubuhi. Mimi ndimi Bwana.
Cross References
Leviticus 18:4Ni lazima mzitii sheria zangu, na mwe waangalifu kuzifuata amri zangu. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.
Leviticus 19:37“ ‘Shika amri zangu zote na sheria zangu zote, nawe uzifuate. Mimi ndimi Bwana.’ ”
Deuteronomy 4:40Mshike amri na maagizo yake ninayowapa leo, ili mpate kufanikiwa ninyi na watoto wenu baada yenu, na mpate kuishi maisha marefu katika nchi awapayo Bwana Mungu wenu siku zote. 1 Miji Ya Makimbilio