Walawi 19:37
“ ‘Shika amri zangu zote na sheria zangu zote, nawe uzifuate. Mimi ndimi Bwana.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore shall ye observe all my statutes, and all my judgments, and do them: I am the LORD.
In Context
Cross References
Leviticus 18:4Ni lazima mzitii sheria zangu, na mwe waangalifu kuzifuata amri zangu. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.
Leviticus 22:31“Shikeni maagizo yangu na kuyafuata. Mimi ndimi Bwana.
Deuteronomy 4:5Tazama, nimewafundisha amri na sheria kama Bwana Mungu wangu alivyoniamuru mimi, ili mzifuate katika nchi mnayoiingia kuimiliki.
Deuteronomy 6:1Haya ndiyo maagizo, amri na sheria ambazo Bwana Mungu wenu aliniagiza niwafundishe ninyi ili mpate kuyashika katika nchi ambayo ninyi mnavuka Yordani kuimiliki,
2 Kings 17:37Imewapasa daima kuwa waangalifu kutunza hukumu na maagizo, sheria na amri alizowaandikia. Msiabudu miungu mingine.
Psalms 119:34Nipe ufahamu, nami nitaishika sheria yako 2 na kuitii kwa moyo wangu wote. 1