bible.software › Leviticus › Leviticus 23 › Leviticus 23:16
Leviticus 23:16
Mtahesabu siku hamsini mpaka siku inayofuata Sabato ya saba, ndipo mtatoa sadaka ya nafaka mpya kwa Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Even unto the morrow after the seventh sabbath shall ye number fifty days; and ye shall offer a new meat offering unto the LORD.
In Context
15“ ‘Tangu siku ile iliyofuata Sabato, siku mliyotoa sadaka ya mganda wa kuinuliwa, hesabuni majuma saba kamili.
17Kutoka popote mnapoishi, mtaleta mikate miwili ya unga laini, sehemu mbili za kumi za efa, uliookwa kwa chachu, kuwa sadaka ya kuinuliwa ya malimbuko kwa Bwana.
Read all of Leviticus 23
Cross References
2 Chronicles 31:7Wakaanza kufanya haya katika mwezi wa tatu na kumaliza katika mwezi wa saba.
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 23:16