bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 31 › 2 Chronicles 31:7
2 Chronicles 31:7
Wakaanza kufanya haya katika mwezi wa tatu na kumaliza katika mwezi wa saba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In the third month they began to lay the foundation of the heaps, and finished them in the seventh month.
In Context
6Watu wa Israeli na Yuda walioishi katika miji ya Yuda wakaleta pia fungu la kumi la makundi yao ya ngʼombe na makundi ya kondoo na mbuzi pia na fungu la kumi la vitu vitakatifu vilivyowekwa wakfu kwa ajili ya Bwana Mungu wao na kuvikusanya katika malundo.
8Wakati Hezekia na maafisa wake walipokuja na kuona yale malundo, wakamsifu Bwana na kuwabariki watu wake Israeli.
Read all of 2 Chronicles 31
Cross References
Leviticus 23:16Mtahesabu siku hamsini mpaka siku inayofuata Sabato ya saba, ndipo mtatoa sadaka ya nafaka mpya kwa Bwana.
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 31:7