Walawi 24:12
Nao wakamweka mahabusu mpaka mapenzi ya Bwana yawe wazi kwao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they put him in ward, that the mind of the LORD might be shewed them.
In Context
13Ndipo Bwana akamwambia Mose:
Cross References
Exodus 18:15Mose akamjibu, “Kwa sababu watu wananijia kutaka mapenzi ya Mungu.
Numbers 9:8Mose akawajibu, “Ngojeni mpaka nitafute kile Bwana anachoagiza kuwahusu ninyi.”
Numbers 27:5Kwa hiyo Mose akalileta shauri lao mbele za Bwana,