Walawi 24:18
Mtu yeyote auaye mnyama wa mtu mwingine lazima afidie, uhai kwa uhai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he that killeth a beast shall make it good; beast for beast.
In Context
17“ ‘Kama mtu yeyote atamuua mtu mwingine, ni lazima auawe.
19Ikiwa mtu yeyote atamjeruhi jirani yake, chochote alichomtenda naye atatendewa:
Cross References
Exodus 21:33“Kama mtu akiacha shimo wazi, ama akachimba shimo kisha asilifukie, na ngʼombe au punda akatumbukia ndani yake,
Exodus 21:36Hata hivyo, kama ikifahamika kwamba fahali huyo alikuwa na tabia ya kupiga kwa pembe na mwenyewe hakumfunga, ni lazima mwenye fahali alipe mnyama kwa mnyama, na mnyama aliyekufa atakuwa wake.