Walawi 25:36
Usichukue riba wala faida yoyote kutoka kwake, bali utamwogopa Mungu wako, ili mzawa wa nchi yako aweze kuendelea kuishi katikati yako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Take thou no usury of him, or increase: but fear thy God; that thy brother may live with thee.
In Context
37Usimkopeshe fedha ili alipe na riba, wala usimuuzie chakula kwa faida.
Cross References
Exodus 22:24Hasira yangu itawaka, nami nitawaua kwa upanga, wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu watakuwa yatima.
Leviticus 25:17Mmoja asimpunje mwingine, bali utamcha Mungu wako. Mimi ndimi Bwana Mungu wako.
Nehemiah 5:3Wengine walikuwa wakisema, “Tunaweka rehani mashamba yetu, mashamba ya mizabibu, na nyumba zetu ili tupate nafaka wakati wa njaa.”
Nehemiah 5:15Lakini watawala wa mwanzoni, wale walionitangulia, waliwalemea watu na kuchukua kutoka kwao shekeli arobaini za fedha, + 5:15 Shekeli 40 za fedha ni sawa na gramu 456. pamoja na chakula na mvinyo. Wasaidizi wao pia walijifanya wakuu juu ya watu. Lakini kwa kumheshimu Mungu sikufanya hivyo.
Proverbs 28:8Yeye aongezaye utajiri wake kwa riba kubwa mno 2 hukusanya kwa ajili ya mwingine, 2 ambaye atawahurumia maskini. 1
Ezekiel 18:13Hukopesha kwa riba na kutafuta faida ya ziada. Je, mtu wa namna hii ataishi? Hapana, hataishi! Kwa sababu amefanya mambo haya yote ya machukizo, hakika atauawa na damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.