The Bible Software
bible.software › Kutoka › Kutoka 22 › Kutoka 22:24

Kutoka 22:24

Hasira yangu itawaka, nami nitawaua kwa upanga, wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu watakuwa yatima.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And my wrath shall wax hot, and I will kill you with the sword; and your wives shall be widows, and your children fatherless.

In Context

23Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.

25“Kama ukimkopesha mmojawapo wa watu wangu fedha ambaye ni mhitaji, usiwe kama mtu mkopesha fedha; usimtoze riba.

Read all of Kutoka 22

Cross References

Leviticus 25:35“ ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini, naye akashindwa kujitegemeza mwenyewe katikati yako, msaidie kama vile ambavyo ungelimsaidia mgeni au kama mkazi wa muda, ili aweze kuendelea kuishi katikati yako.

Deuteronomy 23:20Unaweza kumtoza mgeni riba, lakini siyo nduguyo Mwisraeli, ili kwamba Bwana Mungu wako akubariki katika kila kitu unachoweka mkono katika nchi unayoingia kuimiliki.

Nehemiah 5:7Nikayatafakari katika akili yangu, nikiwalaumu wakuu na maafisa. Nikawaambia, “Mnawaonea ndugu zenu kwa kuwatoza riba!” Basi nikaitisha mkutano mkubwa ili kuwashughulikia

Job 31:23Kwa kuwa niliogopa uharibifu kutoka kwa Mungu, 2 nami kwa kuuogopa utukufu wake sikuweza kufanya mambo kama hayo. 1

Psalms 69:24Uwamwagie ghadhabu yako, 2 hasira yako kali na iwapate. 1

Psalms 78:63Moto uliwaangamiza vijana wao, 2 na wanawali wao hawakuimbiwa nyimbo za arusi, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 22:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 22:23Kutoka 22Kutoka 22:25 →