bible.software › Leviticus › Leviticus 25 › Leviticus 25:7
Leviticus 25:7
vilevile malisho ya mifugo yenu na wanyama pori katika nchi yenu. Chochote nchi itakachozalisha kinaweza kuliwa. 1 Mwaka Wa Yubile
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And for thy cattle, and for the beast that are in thy land, shall all the increase thereof be meat.
In Context
6Chochote nchi itoacho katika mwaka wa Sabato kitakuwa chakula chenu wenyewe, watumishi wenu wa kiume na wa kike, mfanyakazi aliyeajiriwa, na mkazi wa muda anayeishi miongoni mwenu,
8“ ‘Hesabu Sabato saba za miaka, yaani miaka saba mara saba, ili Sabato saba za miaka utakuwa muda wa miaka arobaini na tisa.
Read all of Leviticus 25
Cross References
Exodus 23:10“Kwa muda wa miaka sita mtapanda mashamba yenu na kuvuna mazao,
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 25:7