bible.software › Leviticus › Leviticus 25 › Leviticus 25:8
Leviticus 25:8
“ ‘Hesabu Sabato saba za miaka, yaani miaka saba mara saba, ili Sabato saba za miaka utakuwa muda wa miaka arobaini na tisa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt number seven sabbaths of years unto thee, seven times seven years; and the space of the seven sabbaths of years shall be unto thee forty and nine years.
In Context
7vilevile malisho ya mifugo yenu na wanyama pori katika nchi yenu. Chochote nchi itakachozalisha kinaweza kuliwa. 1 Mwaka Wa Yubile
9Ndipo tarumbeta itapigwa kila mahali katika siku ya kumi ya mwezi wa saba. Katika Siku ya Upatanisho, piga tarumbeta katika nchi yako yote.
Read all of Leviticus 25
Cross References
Leviticus 23:15“ ‘Tangu siku ile iliyofuata Sabato, siku mliyotoa sadaka ya mganda wa kuinuliwa, hesabuni majuma saba kamili.
Psalms 89:16Wanashangilia katika jina lako mchana kutwa, 2 wanafurahi katika haki yako. 1
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 25:8