Walawi 26:20
Nguvu zenu zitatumika bila ya mafanikio, kwa sababu ardhi yenu haitawazalia mazao yake, wala miti ya nchi yenu haitazaa matunda yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 4:12Utakapoilima ardhi, haitakupa tena mazao yake. Utakuwa mtu wa kutangatanga duniani asiye na utulivu.”
Deuteronomy 11:17Ndipo hasira ya Bwana itawaka dhidi yenu, naye atafunga mbingu ili mvua isinyeshe nayo ardhi haitatoa mazao, nanyi mtaangamia mara katika nchi nzuri ambayo Bwana anawapa.
Deuteronomy 28:38Utapanda mbegu nyingi katika shamba lakini utavuna haba, kwa sababu nzige watazila.
1 Kings 18:2Kwa hiyo Eliya akaenda kujionyesha kwa Ahabu. Wakati huu njaa ilikuwa kali sana katika Samaria,
Psalms 107:34nchi izaayo ikawa ya chumvi isiyofaa, 2 kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo. 1
Isaiah 17:11hata kama siku ile unapoipandikiza, unaifanya iote 2 na asubuhi ile ile unayoipanda, unaifanya ichipue, 1 hata hivyo mavuno yatakuwa kama si kitu 2 katika siku ile ya ugonjwa na maumivu yasiyoponyeka. 1