Walawi 26:19
Nitakivunja kiburi chenu cha ukaidi na kuifanya anga iliyo juu yenu iwe kama chuma, na ardhi yenu kama shaba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18“ ‘Kama baada ya haya yote hamtanisikiliza, nitawaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Cross References
Deuteronomy 11:17Ndipo hasira ya Bwana itawaka dhidi yenu, naye atafunga mbingu ili mvua isinyeshe nayo ardhi haitatoa mazao, nanyi mtaangamia mara katika nchi nzuri ambayo Bwana anawapa.
1 Samuel 4:3Askari waliporudi kambini, wazee wa Israeli wakawauliza, “Kwa nini Bwana ameruhusu leo tushindwe mbele ya Wafilisti? Tuleteni Sanduku la Agano la Bwana kutoka Shilo, ili lipate kwenda pamoja nasi, na kutuokoa kutoka mikono ya adui zetu.”
1 Kings 8:35“Wakati mbingu zitakapokuwa zimefungwa kusiwe na mvua kwa sababu watu wako wametenda dhambi dhidi yako, watakapoomba kuelekea mahali hapa na kulikiri jina lako nao wakageuka kutoka dhambi zao kwa sababu umewaadhibu,
Isaiah 2:12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba 2 kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi, 2 kwa wote wanaojikweza 2 (nao watanyenyekezwa), 1
Isaiah 26:5Huwashusha wale wajikwezao, 2 huushusha chini mji wenye kiburi, 1 huushusha hadi ardhini 2 na kuutupa chini mavumbini. 1
Jeremiah 14:1Hili ndilo neno la Bwana kwa Yeremia kuhusu ukame: 1