Leviticus 26:28
ndipo katika hasira yangu nitaweka uadui nanyi, nami mwenyewe nitawaadhibu mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27“ ‘Kama hata baada ya haya bado hamtanisikiliza lakini mkaendelea kuweka uadui nami,
29Mtakula nyama ya wana wenu na nyama ya binti zenu.
Cross References
Isaiah 59:18Kulingana na kile walichokuwa wametenda, 2 ndivyo atakavyolipa 1 ghadhabu kwa watesi wake 2 na kisasi kwa adui zake, 2 atavilipa visiwa sawa na wanavyostahili. 1
Isaiah 66:15Tazama, Bwana anakuja na moto, 2 magari yake ya vita ni kama upepo wa kisulisuli, 1 atateremsha hasira yake kwa ghadhabu kali, 2 na karipio lake pamoja na miali ya moto. 1
Jeremiah 21:5Mimi mwenyewe nitapigana dhidi yenu kwa mkono wangu ulionyooshwa na mkono wa nguvu, kwa hasira na ghadhabu kali na ukali mwingi.
Ezekiel 5:13“Ndipo hasira yangu itakapokoma na ghadhabu yangu dhidi yao itatulia, nami nitakuwa nimelipiza kisasi. Baada ya kuimaliza ghadhabu yangu juu yao, watajua kuwa mimi Bwana nimenena katika wivu wangu.
Ezekiel 8:18Kwa hiyo nitashughulika nao kwa hasira, sitawaonea huruma wala kuwaachilia. Wajapopiga makelele masikioni mwangu, sitawasikiliza.”
Nahum 1:6Ni nani awezaye kuzuia hasira yake yenye uchungu? 2 Nani awezaye kuvumilia hasira yake kali? 1 Ghadhabu yake imemiminwa kama moto, 2 na miamba inapasuka mbele zake. 1