bible.software › Leviticus › Leviticus 27 › Leviticus 27:4
Leviticus 27:4
ikiwa ni mwanamke, weka thamani yake kwa shekeli thelathini. + 27:4 Shekeli 30 za fedha ni sawa na gramu 360.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if it be a female, then thy estimation shall be thirty shekels.
In Context
3thamani ya kukomboa mwanaume mwenye kati ya umri wa miaka ishirini na miaka sitini itakuwa shekeli hamsini + 27:3 Shekeli 50 za fedha ni sawa na gramu 600. za fedha, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu;
5Kama ni mtu mwenye umri wa miaka kati ya mitano na ishirini, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli ishirini, + 27:5 Shekeli 20 za fedha ni sawa na gramu 240. na mwanamke shekeli kumi. + 27:5 Shekeli 10 za fedha ni sawa na gramu 120.
Read all of Leviticus 27
Cross References
Matthew 26:15na kuuliza, “Mtanipa nini nikimtia Yesu mikononi mwenu?” Wakamlipa vipande thelathini vya fedha.
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 27:4