The Bible Software
bible.softwareLeviticusLeviticus 27 › Leviticus 27:5

Leviticus 27:5

Kama ni mtu mwenye umri wa miaka kati ya mitano na ishirini, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli ishirini, + 27:5 Shekeli 20 za fedha ni sawa na gramu 240. na mwanamke shekeli kumi. + 27:5 Shekeli 10 za fedha ni sawa na gramu 120.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And if it be from five years old even unto twenty years old, then thy estimation shall be of the male twenty shekels, and for the female ten shekels.

In Context

4ikiwa ni mwanamke, weka thamani yake kwa shekeli thelathini. + 27:4 Shekeli 30 za fedha ni sawa na gramu 360.

6Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu + 27:6 Shekeli tatu za fedha ni sawa na gramu 36. za fedha.

Read all of Leviticus 27

Cross References

Genesis 37:28Kwa hiyo wale wafanyabiashara Wamidiani walipofika pale, ndugu zake wakamtoa Yosefu kutoka kwenye lile shimo, na kumuuza kwa shekeli ishirini + 37:28 Shekeli 20 ni sawa na gramu 200. za fedha kwa wale Waishmaeli, ambao walimpeleka Misri.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Leviticus 27:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Leviticus 27:4Leviticus 27Leviticus 27:6 →