bible.software › Walawi › Walawi 27 › Walawi 27:7
Walawi 27:7
Kama ni mtu mwenye miaka sitini na zaidi, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli kumi na tano, + 27:7 Shekeli 15 za fedha ni sawa na gramu 180. na mwanamke shekeli kumi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if it be from sixty years old and above; if it be a male, then thy estimation shall be fifteen shekels, and for the female ten shekels.
In Context
6Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu + 27:6 Shekeli tatu za fedha ni sawa na gramu 36. za fedha.
8Kama mtu yeyote anayeweka nadhiri ni maskini mno kuweza kulipa kiasi kilichowekwa, atampeleka huyo mtu kwa kuhani, ambaye ataweka thamani yake kulingana na kile mweka nadhiri anachoweza kulipa.
Read all of Walawi 27
This Verse In Other Editions
Study Walawi 27:7