bible.software › Leviticus › Leviticus 27 › Leviticus 27:6
Leviticus 27:6
Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu + 27:6 Shekeli tatu za fedha ni sawa na gramu 36. za fedha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if it be from a month old even unto five years old, then thy estimation shall be of the male five shekels of silver, and for the female thy estimation shall be three shekels of silver.
In Context
5Kama ni mtu mwenye umri wa miaka kati ya mitano na ishirini, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli ishirini, + 27:5 Shekeli 20 za fedha ni sawa na gramu 240. na mwanamke shekeli kumi. + 27:5 Shekeli 10 za fedha ni sawa na gramu 120.
7Kama ni mtu mwenye miaka sitini na zaidi, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli kumi na tano, + 27:7 Shekeli 15 za fedha ni sawa na gramu 180. na mwanamke shekeli kumi.
Read all of Leviticus 27
Cross References
Numbers 18:14“Kila kitu katika Israeli ambacho kimetolewa kwa Bwana ni chenu.
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 27:6