Leviticus 4:32
“ ‘Ikiwa ataleta mwana-kondoo kama sadaka yake ya dhambi, atamleta jike asiye na dosari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if he bring a lamb for a sin offering, he shall bring it a female without blemish.
In Context
Cross References
Exodus 12:3Iambie jumuiya yote ya Israeli kwamba katika siku ya kumi ya mwezi huu, kila mtu atatwaa mwana-kondoo mmoja kwa ajili ya familia yake, mmoja kwa kila nyumba.
Leviticus 1:3“ ‘Kama sadaka hiyo ni ya kuteketezwa kutoka kwenye kundi la ngʼombe, atamtoa ngʼombe dume asiye na dosari. Ni lazima amlete kwenye ingilio la Hema la Kukutania ili aweze kukubalika kwa Bwana.
Leviticus 4:28Atakapofahamishwa dhambi yake aliyoitenda, ni lazima alete mbuzi jike asiye na dosari kama sadaka yake kwa ajili ya dhambi aliyotenda.
Isaiah 53:7Alionewa na kuteswa, 2 hata hivyo hakufungua kinywa chake; 1 aliongozwa kama mwana-kondoo 2 apelekwaye machinjoni, 1 kama vile kondoo anyamazavyo mbele ya wao wamkataye manyoya, 2 hivyo hakufungua kinywa chake. 1
John 1:29Siku iliyofuata, Yohana alimwona Yesu akimjia akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu!
Ephesians 5:27apate kujiletea Kanisa tukufu lisilo na doa wala kunyanzi au waa lolote, bali takatifu na lisilo na hatia.