Isaiah 53:7
Alionewa na kuteswa, 2 hata hivyo hakufungua kinywa chake; 1 aliongozwa kama mwana-kondoo 2 apelekwaye machinjoni, 1 kama vile kondoo anyamazavyo mbele ya wao wamkataye manyoya, 2 hivyo hakufungua kinywa chake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 38:15Ee Bwana, ninakungojea wewe, 2 Ee Bwana Mungu wangu, utajibu. 1
Matthew 26:63Lakini Yesu akakaa kimya. Ndipo kuhani mkuu akamwambia, “Nakuapisha mbele za Mungu aliye hai. Tuambie kama wewe ndiwe Kristo, + 26:63 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Mwana wa Mungu.”
Mark 14:61Lakini Yesu akakaa kimya, hakusema neno lolote. Kuhani mkuu akamuuliza tena, “Je, wewe ndiwe Kristo, + 14:61 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Mwana wa Mungu Aliyebarikiwa?”
Luke 23:9Herode akamuuliza maswali mengi, lakini Yesu hakumjibu lolote.
Acts 8:32Huyu towashi alikuwa anasoma fungu hili la Maandiko: 1 “Aliongozwa kama kondoo aendaye machinjoni, 2 kama mwana-kondoo anyamazavyo 1 mbele yake yule amkataye manyoya, 2 hivyo hakufungua kinywa chake. 1