Leviticus 4:5
Kisha kuhani huyo aliyetiwa mafuta atachukua sehemu ya damu ya huyo fahali na kuileta katika Hema la Kukutania.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 6:23Kila sadaka ya nafaka ya kuhani itateketezwa kabisa; kamwe haitaliwa.” 1 Sadaka Ya Dhambi
Leviticus 16:15“Kisha atamchinja mbuzi wa sadaka ya dhambi kwa ajili ya watu, na kuichukua damu yake nyuma ya pazia, na aifanyie kama alivyofanya kwa damu ya fahali: Atanyunyiza juu ya kiti cha rehema na mbele yake.
Numbers 19:4Kisha kuhani Eleazari atachukua baadhi ya damu yake kwenye kidole chake na kuinyunyiza mara saba kuelekea upande wa mbele ya Hema la Kukutania.