Leviticus 6:23
Kila sadaka ya nafaka ya kuhani itateketezwa kabisa; kamwe haitaliwa.” 1 Sadaka Ya Dhambi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For every meat offering for the priest shall be wholly burnt: it shall not be eaten.
In Context
Cross References
Leviticus 4:5Kisha kuhani huyo aliyetiwa mafuta atachukua sehemu ya damu ya huyo fahali na kuileta katika Hema la Kukutania.
Leviticus 4:21Kisha atamchukua yule fahali nje ya kambi na kumteketeza kama alivyomteketeza yule wa kwanza. Hii ni sadaka ya dhambi kwa ajili ya jumuiya.
Leviticus 16:27Yule fahali na mbuzi waliotolewa kwa ajili ya sadaka za dhambi, ambao damu yao ilikuwa imeletwa Patakatifu pa Patakatifu kwa ajili ya kufanya upatanisho, ni lazima watolewe nje ya kambi. Ngozi zao, nyama, na matumbo pamoja na mavi vitateketezwa kwa moto.