Leviticus 8:6
Kisha Mose akamleta Aroni na wanawe mbele, akawaosha kwa maji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Moses brought Aaron and his sons, and washed them with water.
In Context
5Mose akaliambia kusanyiko, “Hili ndilo Bwana ameagiza lifanyike.”
Cross References
Exodus 30:19Aroni na wanawe watanawa mikono na miguu yao kwa maji yatokayo katika hilo sinia.
Leviticus 16:4Atavaa koti takatifu la kitani, pamoja na nguo za ndani za kitani; atafunga mshipi wa kitani kiunoni, na kuvaa kilemba cha kitani. Haya ni mavazi matakatifu, kwa hiyo ni lazima aoge kwa maji kabla ya kuyavaa mavazi hayo.
Psalms 51:2Unioshe na uovu wangu wote 2 na unitakase dhambi yangu. 1
Isaiah 1:16jiosheni na mkajitakase. 1 Yaondoeni matendo yenu maovu 2 mbele zangu! 1 Acheni kutenda mabaya, 2
Zechariah 13:1“Katika siku hiyo, chemchemi itafunguliwa kwa nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu, kuwatakasa dhambi na unajisi.
1 Corinthians 6:11Baadhi yenu mlikuwa kama hao. Lakini mlioshwa, mlitakaswa, mlihesabiwa haki kwa jina la Bwana Yesu Kristo na katika Roho wa Mungu wetu. 1 Dhambi Za Zinaa