Luke 1:30
Ndipo malaika akamwambia, “Usiogope, Maria, umepata kibali kwa Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the angel said unto her, Fear not, Mary: for thou hast found favour with God.
In Context
29Maria akafadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni, “Salamu hii ni ya namna gani?”
31Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto mwanaume na utamwita jina lake Yesu.
Cross References
Isaiah 41:14Usiogope, ee Yakobo uliye mdudu, 2 ee Israeli uliye mdogo, 1 kwa kuwa Mimi mwenyewe nitakusaidia,” asema Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Isaiah 44:2Hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyekuhuluku, aliyekuumba tumboni, 2 yeye atakayekusaidia: 1 Usiogope, ee Yakobo, mtumishi wangu, 2 Yeshuruni, + 44:2 Yeshuruni hapa maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli (ona pia Kum 32:15 ). niliyekuchagua. 1
Matthew 28:5Yule malaika akawaambia wale wanawake, “Msiogope, kwa maana ninajua kuwa mnamtafuta Yesu aliyesulubiwa.
Luke 12:32“Msiogope enyi kundi dogo, kwa maana Baba yenu ameona vyema kuwapa ninyi Ufalme.
Acts 27:24naye akasema, ‘Paulo usiogope, kwa kuwa ni lazima usimame mbele ya Kaisari, naye Mungu amekupa kwa neema uhai wa wote wanaosafiri pamoja nawe.
Hebrews 13:6Kwa hiyo tunaweza kusema kwa ujasiri, 1 “Bwana ni msaada wangu; sitaogopa. 2 Mwanadamu anaweza kunitenda nini?”