Luke 1:44
Mara tu niliposikia sauti ya salamu yako, mtoto aliyeko tumboni mwangu aliruka kwa furaha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
43Lakini ni kwa nini mimi nimepata upendeleo kiasi hiki, hata mama wa Bwana wangu afike kwangu?
45Amebarikiwa yeye aliyeamini kwamba lile Bwana alilomwambia litatimizwa.” 1 Wimbo Wa Maria Wa Sifa
Cross References
Luke 6:23“Furahini na kurukaruka kwa shangwe, kwa sababu thawabu yenu ni kubwa mbinguni, kwa kuwa hivyo ndivyo baba zao walivyowatenda manabii. 1