The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 1 › Luke 1:45

Luke 1:45

Amebarikiwa yeye aliyeamini kwamba lile Bwana alilomwambia litatimizwa.” 1 Wimbo Wa Maria Wa Sifa

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And blessed is she that believed: for there shall be a performance of those things which were told her from the Lord.

In Context

44Mara tu niliposikia sauti ya salamu yako, mtoto aliyeko tumboni mwangu aliruka kwa furaha.

46Naye Maria akasema: 1 “Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, 2

Read all of Luke 1

Cross References

2 Kings 4:5Yule mjane akaondoka na kujifungia ndani, yeye na wanawe. Wao wakamletea vyombo, naye akaendelea kumimina mafuta.

Luke 1:20Basi sasa kwa kuwa hujaamini maneno yangu ambayo yatatimizwa kwa wakati wake, utakuwa bubu hadi siku ile mambo haya yatakapotukia.”

John 11:40Yesu akamwambia, “Sikukuambia kwamba kama ukiamini utauona utukufu wa Mungu?”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 1:45

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 1:44Luke 1Luke 1:46 →