Luke 1:48
kwa kuwa ameangalia kwa fadhili 2 unyonge wa mtumishi wake. 1 Hakika tangu sasa vizazi vyote vitaniita aliyebarikiwa, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
47nayo roho yangu inamfurahia 2 Mungu Mwokozi wangu, 1
49kwa maana yeye Mwenye Nguvu 2 amenitendea mambo ya ajabu: 2 jina lake ni takatifu. 1
Cross References
Genesis 30:13Ndipo Lea aliposema, “Jinsi gani nilivyo na furaha! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita Asheri. + 30:13 Asheri maana yake Nimefurahi, yaani Mungu amenifurahisha.
1 Samuel 2:8Humwinua maskini kutoka mavumbini 2 na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu; 1 huwaketisha pamoja na wakuu 2 na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima. 1 “Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya Bwana; 2 juu yake ameuweka ulimwengu. 1
2 Samuel 7:18Ndipo Mfalme Daudi akaingia ndani, akaketi mbele za Bwana, akasema: “Ee Bwana Mwenyezi, mimi ni nani, na jamaa yangu ni nini, hata umenileta mpaka hapa nilipo?
Psalms 113:7Huwainua maskini kutoka mavumbini, 2 na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala, 1
Psalms 138:6Ingawa Bwana yuko juu, 2 humwangalia mnyonge, 1 bali mwenye kiburi 2 yeye anamjua kutokea mbali. 1
Malachi 3:12“Ndipo mataifa yote yatawaita mliobarikiwa, kwa maana nchi yenu itakuwa ya kupendeza sana,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.