The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 1 › Luke 1:47

Luke 1:47

nayo roho yangu inamfurahia 2 Mungu Mwokozi wangu, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And my spirit hath rejoiced in God my Saviour.

In Context

46Naye Maria akasema: 1 “Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, 2

48kwa kuwa ameangalia kwa fadhili 2 unyonge wa mtumishi wake. 1 Hakika tangu sasa vizazi vyote vitaniita aliyebarikiwa, 2

Read all of Luke 1

Cross References

Psalms 35:9Ndipo nafsi yangu itashangilia katika Bwana 2 na kuufurahia wokovu wake. 1

Isaiah 45:21Tangazeni litakalokuwepo, lisemeni hilo, 2 wao na wafanye shauri pamoja. 1 Ni nani aliyetangulia kusema hili tangu zamani, 2 aliyetangaza tangu zamani za kale? 1 Je, haikuwa Mimi, Bwana? 2 Wala hapana Mungu mwingine 2 zaidi yangu mimi, 1 Mungu mwenye haki na Mwokozi; 2 hapana mwingine ila mimi. 1

Zephaniah 3:14Imba, ee Binti Sayuni; 2 paza sauti, ee Israeli! 1 Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote, 2 ee Binti Yerusalemu! 1

Luke 2:11Leo katika mji wa Daudi kwa ajili yenu amezaliwa Mwokozi, ndiye Kristo + 2:11 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Bwana.

1 Timothy 2:3Jambo hili ni jema, tena linapendeza machoni pa Mungu Mwokozi wetu,

Titus 2:10wala wasiwaibie, bali waonyeshe kuwa wanaweza kuaminika kabisa, ili kwa kila namna wayafanye mafundisho ya Mungu Mwokozi wetu yawe ya kuvutia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 1:47

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 1:46Luke 1Luke 1:48 →