The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 1 › Luka 1:50

Luka 1:50

Rehema zake huwaendea wale wamchao, 2 kutoka kizazi hadi kizazi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And his mercy is on them that fear him from generation to generation.

In Context

49kwa maana yeye Mwenye Nguvu 2 amenitendea mambo ya ajabu: 2 jina lake ni takatifu. 1

51Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake; 2 amewatawanya wale wenye kiburi 2 ndani ya mioyo yao. 1

Read all of Luka 1

Cross References

Exodus 20:6lakini ninaonyesha upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanipendao na kuzishika amri zangu. 1

2 Kings 17:39Bali, mtamwabudu Bwana Mungu wenu, kwani yeye ndiye atakayewakomboa kutoka mikononi mwa adui zenu wote.”

Psalms 85:9Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao, 2 ili utukufu wake udumu katika nchi yetu. 1

Psalms 103:17Lakini kutoka milele hata milele 2 upendo wa Bwana uko kwa wale wamchao, 2 nayo haki yake kwa watoto wa watoto wao: 1

Psalms 118:4Wote wamchao Bwana na waseme sasa: 2 “Upendo wake wadumu milele.” 1

Psalms 147:11Bwana hupendezwa na wale wamchao, 2 wale wanaoweka tumaini lao katika upendo wake usiokoma. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 1:50

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 1:49Luka 1Luka 1:51 →