Luke 1:51
Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake; 2 amewatawanya wale wenye kiburi 2 ndani ya mioyo yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
50Rehema zake huwaendea wale wamchao, 2 kutoka kizazi hadi kizazi. 1
52Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi, 2 lakini amewainua wanyenyekevu. 1
Cross References
Genesis 8:21Bwana akasikia harufu nzuri ya kupendeza, naye akasema moyoni mwake, “Kamwe sitailaani tena ardhi kwa sababu ya mwanadamu, hata ingawa kila mwelekeo wa moyo wake ni mbaya tangu ujana. Kamwe sitaangamiza tena viumbe hai vyote kama nilivyofanya. 1
Exodus 15:9“Adui alijivuna, 2 ‘Nitawafuatia, nitawapata. 1 Nitagawanya nyara; 2 nitajishibisha kwa wao. 1 Nitafuta upanga wangu 2 na mkono wangu utawaangamiza.’ 1
Deuteronomy 4:34Je, kuna mungu yeyote amepata kujaribu mwenyewe kuchukua taifa moja kutoka taifa lingine, kwa mapigo, kwa ishara za miujiza na maajabu, kwa vita, kwa mkono wenye nguvu na mkono ulionyooshwa au kwa matendo makuu ya kutisha, kama yale ambayo Bwana Mungu wenu aliyofanya kwa ajili yenu huko Misri mbele ya macho yenu?
1 Samuel 2:3“Msiendelee kusema kwa kiburi hivyo 2 wala msiache vinywa vyenu kunena kwa kiburi, 1 kwa kuwa Bwana ndiye Mungu ajuaye, 2 na kwa yeye matendo hupimwa. 1
Job 40:9Je, una mkono kama wa Mungu, 2 nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake? 1
Psalms 33:10Bwana huzuia mipango ya mataifa, 2 hupinga makusudi ya mataifa. 1