Luke 1:56
Maria akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake. 1 Kuzaliwa Kwa Yohana Mbatizaji
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Mary abode with her about three months, and returned to her own house.
In Context
55Abrahamu na uzao wake milele, 2 kama alivyowaahidi baba zetu.”
57Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto mwanaume.