Luke 1:60
Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yohana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And his mother answered and said, Not so; but he shall be called John.
In Context
61Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.”
Cross References
Isaiah 8:3Kisha nikaenda kwa nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mwana. Kisha Bwana akaniambia, “Mwite huyo mtoto Maher-Shalal-Hash-Bazi.
Luke 1:13Lakini malaika akamwambia, “Usiogope, Zekaria, kwa maana Mungu amesikia maombi yako. Mkeo Elizabeti atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utamwita jina lake Yohana.