Luke 1:69
Naye ametusimamishia pembe + 1:69 Pembe hapa inamaanisha nguvu. ya wokovu 2 katika nyumba ya Daudi mtumishi wake, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And hath raised up an horn of salvation for us in the house of his servant David;
In Context
68“Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, 2 kwa kuwa amewajilia watu wake na kuwakomboa. 1
70kama alivyonena kwa vinywa vya manabii 2 wake watakatifu tangu zamani, 1
Cross References
1 Samuel 2:10wale wampingao Bwana 2 wataharibiwa kabisa. 1 Atapiga radi dhidi yao kutoka mbinguni; 2 Bwana ataihukumu miisho ya dunia. 1 “Atampa nguvu mfalme wake, 2 na kuitukuza pembe 2 ya mpakwa mafuta wake.”
2 Samuel 22:3Mungu wangu ni mwamba wangu, 2 ambaye kwake ninakimbilia, 2 ngao yangu na pembe ya wokovu wangu. 1 Yeye ni ngome yangu, kimbilio langu 2 na mwokozi wangu, 2 huniokoa kutoka kwa watu wenye jeuri. 1
Psalms 18:2Bwana ni mwamba wangu, 2 ngome yangu na mwokozi wangu, 1 Mungu wangu ni mwamba, 2 ambaye kwake ninakimbilia. 1 Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, 2 ngome yangu. 1
Psalms 89:17Kwa kuwa wewe ni utukufu na nguvu yao, 2 kwa wema wako unatukuza pembe + 89:17 Pembe inawakilisha nguvu. yetu. 1
Psalms 132:17“Hapa nitamchipushia Daudi pembe, + 132:17 Pembe inawakilisha nguvu. 2 na kuweka taa kwa ajili ya masiya + 132:17 Masiya yaani mpakwa mafuta. wangu. 1
Isaiah 11:1Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, 2 kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda. 1