Luke 1:70
kama alivyonena kwa vinywa vya manabii 2 wake watakatifu tangu zamani, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As he spake by the mouth of his holy prophets, which have been since the world began:
In Context
71kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu, 2 na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao: 1
Cross References
Genesis 12:3Nitawabariki wale wanaokubariki, 2 na yeyote akulaaniye nitamlaani; 1 na kupitia kwako mataifa yote duniani 2 yatabarikiwa.”
2 Samuel 23:2“Roho wa Bwana alinena kupitia kwangu, 2 neno lake lilikuwa ulimini mwangu. 1
Jeremiah 30:10“ ‘Hivyo usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, 2 usifadhaike, ee Israeli,’ 4 asema Bwana. 1 ‘Hakika, nitakuokoa kutoka mbali, 2 wazao wako kutoka nchi ya uhamisho wao. 1 Yakobo atakuwa tena na amani na usalama, 2 wala hakuna atakayemtia hofu. 1
Mark 12:36Kwa maana Daudi mwenyewe, akinena kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu, alisema: 1 “ ‘ Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako.”’
Luke 24:44Akawaambia, “Haya ndiyo yale niliyowaambia nilipokuwa bado niko pamoja nanyi, kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika Sheria ya Mose, Manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.”
Acts 28:25Hivyo hawakukubaliana, nao walipokuwa wanaondoka, Paulo akatoa kauli moja zaidi: “Roho Mtakatifu alinena kweli na baba zenu aliposema mambo yale yaliyomhusu Bwana Yesu kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba: 1