The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 1 › Luke 1:77

Luke 1:77

kuwajulisha watu wake juu ya wokovu 2 utakaopatikana kwa kusamehewa dhambi zao, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

To give knowledge of salvation unto his people by the remission of their sins,

In Context

76“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; 2 kwa kuwa utamtangulia Bwana 2 na kuandaa njia kwa ajili yake, 1

78kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu, 2 nuru itokayo juu itatuzukia 1

Read all of Luke 1

Cross References

Jeremiah 31:34Mtu hatamfundisha tena jirani yake, 2 wala mtu kumfundisha ndugu yake akisema, ‘Mjue Bwana Mungu,’ 1 kwa sababu wote watanijua mimi, 2 tangu aliye mdogo kabisa kwao, hadi aliye mkuu sana,” 4 asema Bwana. 1 “Kwa sababu nitasamehe uovu wao, 2 wala sitazikumbuka dhambi zao tena.”

Luke 3:3Akaenda katika nchi yote kandokando ya Mto Yordani, akihubiri ubatizo wa toba kwa ajili ya msamaha wa dhambi.

Luke 7:47Kwa hiyo, nakuambia, dhambi zake zilizokuwa nyingi zimesamehewa, kwani ameonyesha upendo mwingi. Lakini yule aliyesamehewa kidogo, hupenda kidogo.”

John 1:15Yohana alishuhudia habari zake, akapaza sauti, akisema, “Huyu ndiye yule niliyewaambia kwamba, ‘Yeye ajaye baada yangu ni mkuu kuniliko mimi, kwa kuwa alikuwepo kabla yangu.’ ”

John 1:34Mimi mwenyewe nimeona jambo hili na ninashuhudia kuwa huyu ndiye Mwana wa Mungu.” 1 Wanafunzi Wa Kwanza Wa Yesu

Acts 2:38Petro akawajibu, “Tubuni, mkabatizwe kila mmoja wenu kwa jina la Yesu Kristo, ili mpate kusamehewa dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 1:77

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 1:76Luke 1Luke 1:78 →