Luke 1:76
“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; 2 kwa kuwa utamtangulia Bwana 2 na kuandaa njia kwa ajili yake, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
75katika utakatifu na haki mbele zake, 2 siku zetu zote. 1
77kuwajulisha watu wake juu ya wokovu 2 utakaopatikana kwa kusamehewa dhambi zao, 1
Cross References
Psalms 87:5Kuhusu Sayuni itasemwa hivi, 2 “Huyu na yule walizaliwa humo, 1 naye Aliye Juu Sana mwenyewe 2 atamwimarisha.” 1
Malachi 3:1“Angalieni, nitamtuma mjumbe wangu, atakayeiandaa njia mbele yangu. Ndipo ghafula Bwana mnayemtafuta atakuja hekaluni mwake. Mjumbe wa Agano, ambaye mnamwonea shauku, atakuja,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Matthew 3:3Huyu ndiye yule aliyenenwa habari zake na nabii Isaya aliposema: 1 “Sauti ya mtu aliaye huko nyikani, 1 ‘Tayarisheni njia kwa ajili ya Bwana, 2 yanyoosheni mapito yake.’ ”
Matthew 11:9Basi mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii.
Matthew 21:26Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’ tunawaogopa hawa watu, maana wote wanamtambua Yohana kuwa ni nabii.”
Mark 11:32Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’…” (Waliwaogopa watu, kwa sababu kila mtu aliamini kwamba Yohana alikuwa nabii wa kweli.)