The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 1 › Luke 1:79

Luke 1:79

ili kuwaangazia wale waishio gizani 2 na katika uvuli wa mauti, 1 kuiongoza miguu yetu katika njia ya amani.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

To give light to them that sit in darkness and in the shadow of death, to guide our feet into the way of peace.

In Context

78kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu, 2 nuru itokayo juu itatuzukia 1

80Yule mtoto akakua na kuongezeka nguvu katika roho; akaishi nyikani hadi siku ile alipojionyesha hadharani kwa Waisraeli.

Read all of Luke 1

Cross References

Job 10:22nchi ya giza kuu sana, 2 yenye uvuli wa giza na machafuko, 2 mahali ambapo hata nuru ni giza.”

Psalms 25:8Bwana ni mwema na mwenye adili, 2 kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake. 1

Psalms 44:19Lakini ulituponda na kutufanya makao ya mbweha, 2 na ukatufunika kwa giza nene. 1

Psalms 107:10Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu, 2 wafungwa wakiteseka katika minyororo, 1

Proverbs 3:17Njia zake zinapendeza, 2 mapito yake yote ni amani. 1

Isaiah 9:2Watu wanaotembea katika giza 2 wameona nuru kuu, 1 wale wanaoishi katika nchi ya uvuli wa mauti, 2 nuru imewazukia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 1:79

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 1:78Luke 1Luke 1:80 →